Second woman escapes the ordeal by hidding in the Nakumatt trolleysnWatch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on http://www.ktnkenya.tvnFollo...
Second woman escapes the ordeal by hidding in the Nakumatt trolleysnWatch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on http://www.ktnkenya.tvnFollow us on http://www.twitter.com/ktnkenyanLike us on http://www.facebook.com/ktnkenya Less
Jubilee Christian Church: Shows the trending DJ Nakumatt mouth Mixes Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live Follow us on http://www.twit...
Jubilee Christian Church: Shows the trending DJ Nakumatt mouth Mixes Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live Follow us on http://www.twitter.com/ktnkenya Like us on http://www.facebook.com/ktn ... Less
Jumamosi takriban saa tano unusu asubuhi, genge la kigaidi linaloshukiwa kuwa la Al Shabaab lilipata kungia katika eneo la kibiashara la Wes...
Jumamosi takriban saa tano unusu asubuhi, genge la kigaidi linaloshukiwa kuwa la Al Shabaab lilipata kungia katika eneo la kibiashara la Westgate wakiwa kwenye magari ya kibinafsi.nKundi hilo la takriban watu 10-15 liliweza kuingia kupitia lango kuu la jumba hilo huku lingine likiingia kutoka eneo la kuegeshea magari lililoko paani.nKatika lango kuu walianza kwa kumuua mkurugenzi wa kampuni ya usalama inayolinda eneo hilo kabla ya kuelekea paani ambapo ulikuwa na hafla iliyoandaliwa na idhaa ya East FM.nWale walioingilia lango kuu wakafululiza hadi duka la Nakumatt lililoko katika jengo hilo na ni hapa ambapo mauaji ya Wakenya wasiokuwa na hatia yoyote yalipoendelezwa zaidi. nMilio ya risasi ikasheheni angani.nHuku haya yakijiri tayari maafisa wa polisi walikuwa wamepata habari hizo na vikosi mbali mbali vikakita kambi na kulizingira eneo hilo, magharibi, mashariki, kusini na hadi angani. nShughuli ya uokozi ikaanza ili kufanikiwa kuwashikilia mateka kwa siku tatu mtawalia huku vikosi vya usalama vinajua ina maana kuwa magaidi hawa walikuwa wamejihami vilivyo. nNa je ni akina nani hawa ?nDuru za kuaminika zinaarifu kuwa, washukiwa hawa ni watu wa tabaka na mataifa mbali mbali wakiwemo wafuatao wanaodaiwa kushiriki kwenye shambulizi hilo:n1. Sayd Nuh - 25 - Kismayun2. Ismael Galed - 23 - Finlandn3. Mustafa Noordiin - 24 - Marekanin4. Abdifatah Osman- 24 - Marekanin5. Kassim Musa - 22 - Garissan6. Mohammed Badr - 24 - SyriannAidha waziri wa masuala ya ndani na usalama Joseph Ole Lenku amefutilia mbali madai kuwa kiongozi wa kundi hilo ni mwanamke akishikilia kwamba ni wanaume waliovalia mavazi ya kike.nKufikia sasa vikosi vya kenya vya usalama vimechukua usukani wa orofa zote za jengo hilo, na kulingana na Lenku ni kuwa magaidi wangali wamejificha, japo wawili tayari wameuawa. Less
Your message has been sent. We will get back to you in 24 hours. Thank you.
Close
Found a bug?SuggestionsCopyrightNeed help?Business DevelopmentGeneral inquiry
Email address (optional):
A message is required
Message (required):
Send Message Cancel